Naibu Waziri, Dk. Milton Makongoro Mahanga, atazungumza na
waandishi wa habari nyumbani kwake Segerea. Amesema ana neno zito anataka
kuwaambia Watanzania. Ukizingatia kuwa Makongoro ni mmoja wa wafuasi watiifu wa
Mheshimiwa Lowassa, na kwa mazingira ya sasa ya kisiasa nchini, unaona kabisa
Makongoro anamfuata Lowassa. Subirini. Kama
kawaida hatuleti uzushi hapa.
