Wayne Rooney enzi za
utoto wake
Wayne Rooney ni mchezaji wa Manchester United mwenye heshima
kubwa kwenye klabu yake, taifa lake
na dunia kwa ujumla
kutokana na uwezo wake mkubwa awapo uwanjani.
Kutoka kushoto: John
Rooney (7), Graeme Rooney (10) na Wayne Rooney (12)
Leo nimekuwekea picha kadhaa za Rooney wakati akiwa mdogo,
kumbe huyu jamaa na yeye ni kama wachezaji wengine wenye majina makubwa
duniani, alianza kucheza mpira akiwa na umri mdogo sana
na kitu cha kufurahisha ni kwamba wadogozake pia walikuwa wanacheza mpira japo
hawakufanikiwa kuvuma duniani kama yeye.
Wayne Rooney wakati akiwa na umri wa miaka 10



