Makatibu tawala wapya wa wilaya 27 wateuliwa

Serikali kupitia Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa umma imetangaza Makatibu Tawala wa Wilaya walioteuliwa kujaza nafasi zilizokuwa wazi za Makatibu Tawala wa Wilaya katika Wilaya nyingine mbalimbali.

Orodha kamili ya Makatibu Tawala wa Wilaya 27 walioteuliwa pamoja na vituo vyao vya kazi ni kama ifuatavyo

KITUO CHA KAZI
JINA
ARUSHA

Arumeru
Timotheo Mzava


GEITA

Nyang’hwale
Fabian Yinza Sospeter


KAGERA

Karagwe
Innocent Nsena
Missenyi
Abdallah R.Mayomba
Kyerwa
Greyson Mwengu
Biharamulo
Agness Rwakayonza Alex


LINDI

Liwale
Mbwana R. Kambagwa
Kilwa
Agenellus Samwel Mwakitalu


MANYARA

Hanang
Sarah Erasto Sanga
Mbulu
Paul Tlatlaa Bura


MOROGORO

Kilosa
Yohana M. Kasitila
Kilombero
Robert Francis Selasela
Malinyi
Lameck Michael Lusesa


MTWARA

Nanyumbu
Palango Salum Abdul
MWANZA

Misungwi
Bosco James Bugali
Magu
Menruf Fortunatus Nyoni
Ilemela
Said R.Kitinga


NJOMBE

Makete
Grace Huruma Mgeni
Ludewa
Zaina Mfaume Mlawa


PWANI

Kibiti
Milongo R.Sanga


RUKWA

Kalambo
Frank Mastara Sichalwe


SIMIYU

Meatu
Nicodemas Tambo Mwikozi
Itilima
Filbert Kasian Kanyilizu
Busega
Godwin Chacha


SINGIDA

Ikungi
Winfrida Emmanuel Funto
Mkalama
Elizabeth Rwegasira


TABORA

Kaliua
Michael Simon Nyahenga

Ma-Katibu Tawala wa Wilaya hawa wametakiwa wafike kwa Katibu Mkuu  wa Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) wakiwa na CV zao pamoja na nakala za vyeti vyao vya kielimu.
Mpya zaidi Nzee zaidi