Makatibu wa CCM Mikoa walioteuliwa leo, 20 ni wapya kati ya 31. Kwa upande wa Makatibu Wakuu wa CCM Wilaya, 76 ni wapya.
- Ramadhan Dalo- Arusha
- Solomoni Itunda- Karatu
- Simba Gadafi- Longido
- Amos SHimba- Ngorongoro
- Hanafi Msabaha- Kinondoni
- Robert Kelenge- Kigamboni
- Martin Mwakitabu- Chamwino
- Asia Mohameh Chemba
- Nuru Ngeleja- Chato
- Clemence Mponzi- Kilolo
- Mohamed Mfaume Bukoba Mjini
- Mwajuma Boha- Misenyi
- Miriam Kaaya- Moshi Vijijini
- Agness Msuya- Siha
- Mayasa Ayoub- Kilwa
- Rafael Maumba- Liwale
- Othaman Dunga- Hanang
- Rehema Ndele- Mbozi
- Shaibu Mtawa- Morogoro Vijijini
- Alfred Mwambeleko- Masasa
- Said Mkoa- Sengerema
