Mwigulu Nchemba: ‘Mkikuta mtu hana makosa isiwe tabu kumuachia hata kumuomba radhi’

Waziri wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba wakati akifungua Bodi mpya ya PAROLI chini ya mwenyekiti wake Augustino Mrema Ukonga jiji Dar es salaam amevitaka vyombo vya usalama kukamata watuhumiwa lakini wakijiridhisha kuwa hawana makosa wasione tabu kuwaachia ikibidi kuwaomba msamaha.


Mpya zaidi Nzee zaidi