Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kigwangalla leo March 21, 2017 ameandika vitu vingi kupitia Twitter, nimekuchagulia 6 kutoka kwenye account yake. Moja kati ya vitu amendika Kigwangalla ni pamoja na sentesi hii.
Kuna hamaki inaendelea kwenye vichwa vya watu, Nimepost kitu kingine kabisa, kila mtu anahusianisha na mambo mengine kabisa!
Kuna hamaki inaendelea kwenye vichwa vya watu, Nimepost kitu kingine kabisa, kila mtu anahusianisha na mambo mengine kabisa!