VIDEO: Waziri mkuu mstaafu Sumaye afunguka sakata la RC Makonda

Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani na uongozi wake wa Kanda na ngazi za chini yake wamekutana na waandishi wa habari kuzugumzia masuala muhimu kuhusu hali ya siasa na utawala inavyoendelea nchini ikiwemo yanayoendelea kuhusu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.


Mpya zaidi Nzee zaidi