https://monetag.com/?ref_id=TTIb Polepole amtwisha Rais Magufuli sakata la Makonda | Muungwana BLOG

Polepole amtwisha Rais Magufuli sakata la Makonda

Kupitia mkutano wa Katibu Mwenezi Ndg Humphrey Polepole na Wanahabari leo Jijini Dar es salaam juu ya mageuzi ya CCM kiutendaji na kiutawala pamoja na CCM kufanya uteuzi mpya. pia Mwenezi huyo aliulizwa Swalli kuhusu CCM kulishughulikia sakata la RC Makonda, 

Na haya ndiyo yalikuwa majibu yake... 

"Kuhusu RC Paul Makonda, CCM inautaratibu wake wa kushughulikia viongozi wake. Chama kitakapokuwa tayari kitalishughulikia suala hili."

"Pili, RC Paul Makonda ni mteule wa Rais Magufuli, na yeye anapomteua mtu anaweza pia kumchukulia hatua."