ACT Wazalendo wafungua kesi kupinga uteuzi wa Katibu wa Bunge

CHAMA cha ACT Wazalendo leo Oktoba 11/2017, kimewasilisha mahakamani kesi ya kupinga uteuzi wa Katibu wa bunge uliokiuka Katiba na sheria za nchi

Kwa mujibu wa Afisa habari wa chama hicho Abdallah Khamisi amesema taarifa zaidi juu ya suala hilo zitatolewa kesho baada ya taratibu za kimahakama kukamilika.
Mpya zaidi Nzee zaidi