Nyumbani Barcelona yaipiga Eibar 2-0 byMuungwana Blog 2 -2/17/2018 09:00:00 PM 0 Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 16 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Eibar kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaa ya Ipurua mjini Eibar. Bao la pili lilifungwa na Jordi Alba dakika ya 88. Facebook Twitter