Helikopta yaanguka nchini Mexico

Helikopta iliyokuwa imembeba waziri wa mambo ya ndani na Gavana wa Oaxaca imeanguka nchini Mexico.

Kwa mujibu wa habari,watu 13 wamepoteza maisha baada ya helikopta hiyo kuanguka.

Ajali hiyo imetokea siku moja baada ya tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7  Oaxaca  nchini Mexico.

Hakuna liyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika tetemeko hilo la ardhi.

Hata hivyo watu 13 wamepoteza maisha baada ya helikopta hiyo ya kijeshi kupata ajali.
Mpya zaidi Nzee zaidi