VIDEO: Baada Ya MBOWE, MNYIKA na MDEE kuhojiwa Polisi leo.....

Viongozi waandamizi wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe leo wamehojiwa kwa saa tatu na Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Viongozi wengine waliohojiwa ni pamoja na Manaibu  Katibu Wakuu, John Mnyika , Salum Mwalimu na Wabunge Halima Mdee na John Heche.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi