Waziri wa Viwanda na biashara na uwekezaji Mhe. Charles Mwijage amesema Wizara yake itaendelea kushirikiana na wawekeza katika kuwapatia maeneo na msaada wa kisheria kwa kuwaelewesha sheria za uwekezaji nchini iliwaweze kufanya shughuri zao kwa uwazi na ilikuleta maendeleo kwa nchi.
Waziri Mwijage ameyasema hayo leo wakati wa mkutano wake na wawekezaji wa maduka makubwa ya GSM na DANUBE jijini Dar es salaam ambao leo wamejiingia makubaliano ya kujenga kiwanda kikubwa cha kutengeneza Samani za ndani kitakacho jengwa katika eneo la Kiigamboni , na kuwahakishia kuwa serikali itakuwa nao baegakwa beba watakapo kutana na vikwazo.
‘’kujengwa kwa kiwanda hiki kutasaidia kupunguza bei na upatikanaji wa bidhaa hii kuliko hisasa bidhaa inatoka nje ya nchi, matatizo yapo na uelewa wa watu unatofautiana hata vidole vinatofautiana mtu akaipatwa na matatizo asikate tamaa hakuna mahala ambapo hakuna vikwazo twende kwenye sheria tueleweshane kusudi tuendelee kuzalisha ‘’ alisema.
Aidha amesema kujengwa kwa viwanda kwa wingi kutasaidia kujenga uchumi na kuongeza mapato na walipakodi na amewataka wawekezaji hao kufikiria kujenga viwanda zaidi nchini .
Kwa upande wake Meneja masoko wa Kampuni ya GSM , Farida Rubanza amesema wana tarajia kujenga kiwanda kikubwa kitakacho kuwa kina tengeneza samani za ndani (Furniture) kwa ajili ya kuuza nchini na kusafirisha nchi mbalimbali duniani.
‘’Sisi GSM na DANUBE tumeona Nivema tukaungana ilikujenga kiwanda hapahahapa na tutakuwa tuna pata malighafi hapahapa na kiwanda kikikamilika tuta kuwa na uwezo wa kuuza Contener 500 kwa mwezi na tutauza masoko ya nje na ndani ‘’ alisema .
Rubanza pia ame mshukuru Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mhe. John P.Magufuli na serikali yake kwa kwa kuweka mazingira Rafiki kwa wawekezaji wa ndani na wa kigeni na kuahidi kuwa wao kama waekezaji wataendelea kutoa ajira kwa watanzania.
Katika muungano huu amesema, wataanzisha DUNUBE home Academy na watachukua wahitimu wa vyuo nchi na watawafundisha na kuwapatia ajira ndani na nje ya nchi walikowekeza na wemgine watawa tafutia ajira sehemu mbalimbali.
Naye Meneja wa wa DANUBE Sayed Habib , amesema DANUBE imejipanua katika biashara na huko Dubai na nchi za kiarabu ni moja ya makampuni makubwa na kwamba ushirikianao wao na GSM kutasaidia kufanikisha , muda si mrefu wanampango wa kufungua biashara sehemu mbalimbali katika nchi zingine za kiafrica.
Amesema uwekezaji wao wa kiwanda cha kutengeneza Samani kutakuwa na manufaa kwa kuwa malighafi inapatatikana kwa wingi hapa Tanzania.