https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Bodaboda Hawaruhusiwa kupigwa na Polisi - SACP Musilimu | Muungwana BLOG

VIDEO: Bodaboda Hawaruhusiwa kupigwa na Polisi - SACP Musilimu


Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, SACP : Fortunatus Musilimu amesema hakuna askari polisi wenye mamlaka ya kumpiga dereva bodaboda yeyote anaevunja sheria, kwani kitendo hiko ni kinyume cha sheria.

ameendelea kusema kuwa kama kuna askari ambae anavunja sheria hiyo atalifatilia na kulichukulia hatua kitendo hiko ambacho ni kinyume cha sheria,

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....................... USISAHAU KUSUBSCRIBE............