VIDEO: Fatma Karume Kuiburuza Tume Ya Uchaguzi Mahakamani

Mwanasheria Fatma Karume kwa kushirikiana na wadauu mbalimbali wa Sheria wamepanga kufungua kesi Mahakamani dhidi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania ili kuweza kubadilishwa kwa baadhi ya vipengele vya Sheria ya Uchaguzi ikiwa ni pamoja na kupinga wasimamizi wakuu wa uchaguzi na wale wasaidizi kuwa makada wa vyama vya siasa na wengine kuchaguliwa na Rais.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE


Mpya zaidi Nzee zaidi