Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kuwa hukumu iliyotolewa na Mahakama jijini Mbeya dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi SUGU ilifahamika siku nne nyuma kabla ya hukumu hiyo huku akisema ilipangwa Hotelini ikiratibiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na baadhi ya viongozi wa Serikali.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE