Viongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo wameripoti makao makuu ya Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam ikiwa ni muitikio wao kwa Jeshi hilo kufuatia kuhitajika kwa ajili ya mahojiano. Viongozi walioripoti ni Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe, Naibu Katibu Mkuu, John Mnyika, Salum Mwalimu na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake BAVICHA, Halima Mdee.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KUSUBSCRIBE
