Beki Marcos Rojo akisaini mkataba mpya wa miaka mitatu na nusu leo kuendelea kuichezea Manchester United hadi mwaka 2022 na kuzima tetesi za Muargentina huyo aliyewasili Old Trafford mwaka 2014 kwa dau la Pauni Milioni 16 kutoka Sporting Lisbon kuhamia PSG kwa Pauni Milioni 30.