VIDEO:Mambosasa Amzungumzia Tena Abdul Nondo, Kumpeleka Mahakamani

Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ametoa ufafanuzi mwingine juu ya Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi TSNP, Abdul Nondo ambapo amesema watampeleka mahakamani baada ya upelelezi kukamilika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi