Rais Trump awapa mwaka mmoja wahamiaji kutoka Liberia wawe wameondoka Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa muda wa mwaka mmoja kwa wahamiaji kutoka nchini Liberia wawe wamekwishaondoka nchini Marekani.

Uongozi wa Trump amesitisha mpango aliokuwa umeandaliwa kwa ajili ya wahamiaji kutoka Liberia na kutoa muda wa mwaka mmoja kwa wahamiaji kutoka Liberia kwa wamekwishaondoka nchini Marekani.
Rais  Donald Trump ameamuru kuondolewa na mpango uliokuwa umewekwa kwa ajili ya wahamiaji kutoka Liberia kurejea nchini mwao.  Whamaiaji wanaotakiwa kuondoka Marekani ni pamoja na wale waloingia nchini humo hata kwa muda mrefu uliopita. Uamuzi huo umechukuliwa  baada ya  Liberia kuonekana kuwa ipo salama.

Raia ewengi kutoka Liberia walikimbia machafuko tangu mwaka 1991 ya wenyewe kwa wenyewe.
Mpya zaidi Nzee zaidi