Chama cha Wananchi CUF leo Agosti 30 kimefanya kampeni za udiwani kwenye kata ya vingunguti jijini Dar es salaam ambapo diwani wake alijiuzulu na kuhamia CCM hivyo kupelekea kufanyika uchaguzi mdogo wa marudio, pia chama hicho kimewataka wananchi kumlaani Kumbilamoto ambae anawania tena udiwani.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
