VIDEO: BREAKING: Idadi Ya Waliofariki MV Nyerere Yaongezeka, Mwili wa Mtoto Wapatikana Leo


Zoezi la kugeuza na kukitoa nje kivuko cha MV Nyerere kilichozama kwenye Ziwa Victoria Septemba 20, mwaka huu linazidi kushika kasi huku pia michango ya rambirambi kwa watanzania, taasisi na mashirika mbalimbali ikiendelea kutolewa.

Aidha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwelwe ambaye anasimamia zoezi hilo sanjari na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Venance Mabeyo amfafanua matumizi ya fedha ambazo zinachangwa na wadau huku pia akitangaza kupatikana kwa mwili wa mtoto mdogo kwa siku ya leo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi