10/11/2018

VIDEO: "Nimewaomba radhi mtuvumilie ndani ya siku 3 majibu yatapatikana" Makonda


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mapema leo alfajiri amefika kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Kimara kujionea mwenyewe adha wanayoipata abiria ambapo amewaomba abiria kuwa watulivu wakati serikali ikiendelea kushughulikia kasoro zote.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE