F VIDEO: Lipumba awasha moto ''ametuuza wananchi kwa bei poa" | Muungwana BLOG

VIDEO: Lipumba awasha moto ''ametuuza wananchi kwa bei poa"


Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba amewasha moto kwenye mikutano ya kampeni ya uchaguzi mdogo wa marudio jimbo la Liwale kwa kumtuhumu mgombea wa CCM, Zuber Kuchauka kuwa amewauza wananchi wa jimbo hilo kwa bei poa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE