Nyumbani Yanga yasajili mshambuliaji kutoka AC Lega ya Congo byMuungwana Blog 2 -7/31/2019 08:00:00 PM 0 Klabu ya Yanga imemsajili mshambuliaji David Molinga kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea AC Lega ya Congo. Nyota huyu ambaye ni pendekezo la Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera alisema kuwa anakuja kurithi nafasi ya Heritier Makambo aliyetimkia Horoya AC. Facebook Twitter