Mkuuu wa wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Hadson Kamoga wameongoza zoezi la kufanya harambee ya ukusanyaji fedha kwa ajili ya ujenzi wa wodi na kupata zaidi ya shilingi milioni 80.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE