VIDEO: Makonda kuwakomesha wanaume wanaowadanganya wanawake


Leo Agosti 12 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema baada ya mkutano wa SADC kuisha anatarajia kufanya kikao na wanawake wote waliodanganywa na wanaume kuwa wataolewa na mpaka sasa hawajatimiziwa ahadi hiyo wamebaki na misiba moyoni.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi