VIDEO: Kilichojili Mahakama Kuu kesi ya Lissu vs spika, mdogo wake afunguka A-Z


Mahakama kuu nchini Tanzania imeanza kusikiliza shauri la Tundu Lissu dhidi ya spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kumvua ubunge wake kwa madai kuwa amekiuka masharti ikiwemo kutohudhuria bungeni kwa kipindi kirefu bila spika kuwa na taarifa naye.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE


Mpya zaidi Nzee zaidi