Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt Maulid Madeni ametoboa siri ambayo imefanya Jiji hilo kuwa kinara katika ukusanyaji wa mapato huku akikataa pongezi ambazo anapewa mara kwa mara ambapo amesema pongezi hizo zinatakiwa ziende kwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mjini
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI,,,USIKOSE KU-SUBSCRIBE....
