VIDEO: Neema yashuka , tabasamu kwa wanakijiji cha Sangara


Zaidi ya wakazi 4000 wa kijiji cha Sangara kata ya Riroda wilaya ya Babati mkoani Manyara kunufaika na mradi wa maji safi na usafi wa Mazingira uliofadhiliwa na taasisi za Water Aid,Habitat For Humanit,UTT na e-Water kwa shilingi Milini 229.4.

Akizindua mradi huo kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Manyara, Mkuu wa wilaya ya Babati Elizabeth Kitundu amewataka wanakijiji hao wautunze mradi huo ili  uendelee kutumiwa na vizazi vijavyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE...

Mpya zaidi Nzee zaidi