VIDEO: Waziri Mkuu aacha ujumbe mzito kwa viongozi mkoani Morogoro


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na ofisi ya waziri mkuu kujenga uzio utakaotambulisha eneo la lililozikwa miili ya watu waliopata ajali ya kuungua  moto na kuteketea  baada ya lori la mafuta kulipuka katika eneo la msamvu manispaa ya Morogoro.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi