https://monetag.com/?ref_id=TTIb TANZIA: Mchekeshaji kutoka 'Cheka TU' afariki Dunia | Muungwana BLOG

TANZIA: Mchekeshaji kutoka 'Cheka TU' afariki Dunia


Mchekeshaji aliyepata umaarufu kupitia kipindi cha Cheka Tu kinachoongozwa na Coy Mzungu, Boss Matha amefariki dunia mapema leo.