Loading...

10/09/2019

VIDEO: Yanga yapangiwa kucheza na waarabu kombe la shirikisho/ Rekodi kwenye ligi yao usipime


Klabu ya oka ya Yanga imepangwa kucheza na Pyramids ya nchini Misri katika hatua ya mchujo ya kombe la shirikiho. Pyramids inashika nafasi ya pili kwenye ligi yao ikiwa na alama aba huku ikiwa tayari imeshacheza michezo mitatu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Loading...