Kocha Mreno Jose Mourinho amerejea katika Ligi kuu ya Soka ya Uingereza (EPL) baada ya kuajiriwa na klabu ya Tottenham kuchukua nafasi ya kocha Mauricio Pochettino aliyetimuliwa kazi.
Mourinho ambaye mara ya mwisho alikuwa kocha wa Man United amepewa mkataba mpaka msimu wa 2022/2023.
Mechi za Jose Mourinho akiiongoza Spurs kabla mwaka 2019 haujaisha ni hizi hapa.
23/11 - West Ham vs Spurs (EPL)
26/11 - Spurs vs Olympiakos (UCL)
30/11 - Spurs vs Bournemouth (EPL)
4/12 - Man United vs Spurs (EPL)
7/12 - Spurs Vs Burnley (EPL)
11/12 - Bayern Munich vs Spurs (UCL)
15/12 - Wolves vs Spurs (EPL)
22/12 - Spurs Vs Chelsea (EPL)
26/12 - Spurs vs Brignton and Hove (EPL)
28/12 - Norwich Vs Spurs (EPL)
