https://monetag.com/?ref_id=TTIb Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) | Muungwana BLOG

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

Rais John Magufuli leo Novemba 3, 2019 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuchukua nafasi ya Prof Mussa Hassad ambaye muda wake unaisha kesho Novemba 4, 2019.