Simba SC yamtangaza atakayekaimu nafasi ya Mwenyekiti


Timu ya Simba SC imemtangaza Mohamed Kaduguda kukaimu nafasi ya Mwenyekiti kufuatia kujiuzulu kwa Swedy Mkwabi.

Mpya zaidi Nzee zaidi