VIDEO: Diwani ambaye ni rafiki wa Meya wa Chadema aliyetimkia CCM ampa makavu


Baada ya kupita Siku ambapo Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro Kuhamia CCM Diwani wa kata ya Ngarenaro Isaya Doita amesema kuwa yeye hawezi kuhama huku akisema kuwa Meya aliyejiuzulu hakuwa na sifa ya Nafasi hiyo kwasababu Chama Kilimbeba pamoja na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi