Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam, Omary Kumbilamoto leo Novemba 20 amefanya ziara katika shule ya Pugu Sekondari ambapo hatua hiyo imekuja baada ya kusaini mkataba wa shilingi milioni 71 ambayo itatumika kukarabati miundombinu ya shule hiyo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE
