VIDEO: Wakamatwa na risasi 15,meno ya tembo pamoja na utapeli wa jina la Gavana wa Benki Kuu


Jeshi la polisi mkoani Arusha linawashikilia watu wawili ambao ni Juma Hussein na Amani Mbise wakazi wa Arusha kwa tuhuma za kutumia jina la Gavana wa benki kuu Prof Florence Luoga katika mitandao ya kijamiii Facebook na kuwatapeli watu mbalimbali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi