Loading...

11/10/2019

VIDEO: Waziri Jafo awabana Mbowe na Zitto ''hakuna kuweka mpira kwapani''/awarudisha wagombea walioenguliwa


Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema wagombea wote waliojaza fomu na kurejesha wakiwania uongozi kwenye Serikali za mitaa watajumuishwa kwenye uchaguzi hata kama vyama vyao vimetangaza kujitoa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Loading...