Waziri Mkuu amwakilisha Rais Magufuli kwenye uapisho wa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Benjamin Mkapa, wakati akiondoka nchini, katika uwanja wa Julius Nyerere, kuelekea Msumbiji kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Januari 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Januari 14, 2020 ameondoka nchini kwenda Msumbiji, ambako atamwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Benjamin Mkapa, ambaye pia yupo katika msafara huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)