Breaking: Rais Magufuli afanya uteuzi huu

 Rais John Magufuli amemteua Balozi John Kijazi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ndege za Serikali. Balozi Kijazi ni Katibu Mkuu Kiongozi.

Rais Magufuli pia amemteua Mhandisi Florian Kabaka kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya TARURA.

Mpya zaidi Nzee zaidi