VIDEO: Isaack Kamwelwe azindua reli kutoka Moshi hadi Arusha
byMuungwana Blog 2-
0
Waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano issack kamwelwe amekagua reli kutoka moshi hadi jijini Arusha na kusema kuwa muda wowote kuanzia sasa itaanza kutoa huduma ili kuondoa kero ya usafiri kwa wananchi
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE