VIDEO: Soggy Doggy afunguka kisa cha kupigwa na Jay Moe hotelini
byMuungwana Blog 1-
0
Msanii mkongwe wa miondoko ya Bongofleva nchini Tanzania Soggy Doggy Hunter amefunguka sababu ya kuwa kimya kwenye mziki kwa kipindi kirefu huku pia akieleza kisa cha kupigwa kichwa na Jay Moe wakiwa hotelini.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE