Rais wa Marekani, Donald Trump amesema nchi yake imechukua hatua kudhibiti virusi vya corona kwa kuzuia ndege kutoka maeneo hatarishi na kuzuia watu wanaotoka nchini China ambao siyo raia wa Marekani kuingia nchini humo.
Amesema nchi hiyo imetenga pia maeneo maalumu ya kuwahudumia watu watakaoambukizwa virusi hivyo.
“Tumechukua hatua kudhibiti corona virus, mipaka imefungwa, tumezuia ndege kutoka maeneo hatarishi, tumeagiza wasiokuwa Raia wetu kutoka China wasiingie USA, maeneo yametengwa kwa watakaombukizwa, Makamu wa Rais Spence atasimamia kwa ukaribu kuhusu corona"-TRUMP