Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo, amezindua makao makuu ya Jeshi la kujenga taifa, JKT Jijini Dodoma huku akiagiza Shirika la uzalishaji Mali la JKT SUMA JKT kuhakikisha wanafanya kazi za Miradi wanazopewa kwa weredi na ufanisi, huku akitaka kazi ya Ujenzi wa makao makuu ya Jeshi la Ulinzi kuifanya kwa ufanisi mkubwa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
