Taasisi ya Kuzuia na Kapambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Tabora amechukua hatua hiyo baada ya kupokea taarifa za malalamiko ya Mwananchi jina limeifadhiwa akimtuhumu afisa wa NIDA Angongene Mtapa ya kuomba na kupokea rushwa ya shilingi 50,000 ili kumpatia kitambulisho cha Taifa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
