VIDEO: Ditram Nchimbi afunguka kilichowasibu mechi dhidi ya Gwambina


Mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Ditram Nchimbi amesema mechi yao dhidi ya Gwambina FC ilikua ngumu kutokana na hali ya matokeo ya kabu yao hicho iliwalazimu kufanya vyovyote ili wapate matokeo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE