VIDEO: Wpigwa stop kwa kujenga halmashauri ya Jiji


Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Kupitia Mtendaji wa Kata Bwana Stansalaus Ismail amesimamisha shughuli zote zinazoendelea katika eneo ambalo ni la serikali linalomilikiwa kinyemela na watu 2 ambapo kwasasa wanahojiwa na polisi kwa ajili ya kutoa maelezo juu ya umiliki wa eneo hilo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIB

Mpya zaidi Nzee zaidi