VIDEO: Mabishano makali yaibuka hadharani kati ya mtendaji na mmiliki wa eneo


Mwananchi mmoja ajulikanae kwa jina la Mwalimu Temba amejikuta matatani baada ya kuvamia eneo la halmashauri ya jiji kinyume na sheria ikiwemo kuliendeleza huku akificha kibao kinachoonesha alama ya Jiji la Arusha

Baada ya mtendaji wa kata kufika eneo hilo Bwana Temba akawa anajibu majibu alioyaita ya dharau  ambapo kitendo hicho kilichopelekea kuamuru mgambo wa kata kumkamata ambapo Diwani wa kata Hiyo ya Engutoto Emanuel Riwards akimtetea mwananchi huyo asikamatwe ambapo ilileta sintofahamu kwa kitendo cha diwani kumtetea mwananchi anayemiliki eneo la jiji kinyume na sheria.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi